Intaneti
Tokea kuwa aina ya chombo cha habari kinachoibukia hadi kuwa jabari katika ulimwengu wa habari, intaneti imebadilika sana katika miaka 15 iliyopita. Habari inayochapwa mtandaoni inasambaa dunia nzima kama maandishi, picha na sauti. Intaneti ndiyo aina ya chombo cha habari inayowezesha washiriki kuwasiliana papo kwa hapo kwa vile inawezesha jamii kuitikia kirahisi matukio ya habari kwa kuchapisha maoni.
- 01. Kutumia mitandao ya kijamii kupata habari
- 02. Kupangilia utafutaji wako wa habari
- 03. Jinsi ya kufanya utafutaji fanisi kwenye Google
- 04. Kuhakikisha picha au video: namna ya kutambua za bandia
- 05. Namna ya kuandika kwa usomaji wa kwenye skrini
- 06. Kuandika ili kusomeka: namna ya kuziteka injini tafuti
- 07. Kutumia rasilimali za picha na kusimamia hakimiliki ya picha
- 08. Kuhakiki ukweli
- 09. Kuripoti tukio mbashara
- 10. Kupiga na kuhariri video ya mtandaoni
- 11. Kutengeneza simulizi
- 12. Kanuni muhimu za uandishi wa habari kwa kutumia data
- 13. Uoneshaji wa data
- 14. Kutengeneza ramani ingiliani
- 15. Kuanzisha “podcast”
- 16. Kuandaa muundo wa kipindi kirefu na ingiliani
- 17. Kuandaa maudhui kwa ajili ya mitandao ya kijamii
- 18. Kanuni kuu za HTML
- 19. Kuandaa maelezo ya midia-anuai
- 20. Kulinda data na vyanzo vya habari
- 21. Kufanya habari kuwa burudani
- 22. Kutengeneza “chapa binafsi”
- 23. Zana za kuchambua watembeleaji wa tovuti
- 24. Keeping an eye on upcoming developments